andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Jamani huyo ni mtoto, asiyo yajua mwambieni umri wako hauruhusu.Bora umekuja ankoo labda wewe atakusikia
Zamani unasikiliza nyimbo hadi unasema eeh hii ni nyimboSiku mingi sana jamani
Tatizo huyu mndali ni mbishi ankoo
😂😂😂😂Zamani unasikiliza nyimbo hadi unasema eeh hii ni nyimbo
Sio siku hizi unasikia jejee tu
#haliyahewashawishi[emoji943][emoji943][emoji943]
Kwani hujawahi kuzilamba??
Sawasawa
Jirani analamba sana ila jina ndio linamtatiza....mwambie ile kitu ya bariiidi ila ikifika mdomoni ya moto.....
Wewe acha tu 😀#haliyahewashawishi
Chumbani?
Koni?
Kaka umeelewa vibaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dadake kumbe unazijua eeh[emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh!!!....#haliyahewashawishi
Good night fam
Carba signing out[emoji179]