The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
[emoji7][emoji39][emoji23][emoji23]
Nitakuwa karibu na wewe
#billkwangu
Naona sasa unafanya mazoezi ya kiuno na bolingo[emoji23][emoji23][emoji23]Vita Imana - Ferre Gora
Mpini ni kama huo kwa mguu wa huyo muhindi
Huu uzi upo bizeee, halafu sasa nothing serious[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tuna enjoy maisha[emoji847]
Anne unatuchosha
Nenda kalaleeee
Jirani unazungumza na mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1416722
Risen with Christ
Anatuchosha tu hapa[emoji23][emoji23]
Issa Bin Mariam
Ngoja nikalale tu
Maana hizi lambalamba hata sielewi
Mh!Nzito inavutia kusikiliza
Unaifeel yaani..sasa nyepesi Kama yangu hata haistui yaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kusumbua wakubwa
Aseeh, mi nina aibu hadi kwenye maandishi[emoji19][emoji2088]
Unaijua kisa cha mpemba??
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Ankoo,achana na hayo mambo yanakuzidi umri