Elly Corner
Member
- Sep 10, 2014
- 36
- 35
Cole kwa Carba kapata mwanamke wa shoka aisee. I hope hatavuruga kama alivyofanya Kichwa...My 2 princess with carbamazepine
Kwema mkuu. Kulishakucha! Tuendelee na likes...Habari za asubuhi wakuu
Pamoja sana mkuuKwema mkuu. Kulishakucha! Tuendelee na likes...
Kifo mwanaharamu kabisa. RIP!
RIP Bradley
acha apumzike kwa amani...maisha yalikua mateso kwake huyu malaika, kansa mbaya sanaKifo mwanaharamu kabisa. RIP!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimefikiri unamwongelea Nimrod Mkono!
Hahahaaaaa[emoji808]ana
[emoji818]hana
Mtembea popote kabakia mpweke. Ni shida!
Ho Chi Minh akikusikia umekwisha! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Good couple
Mpenda soka wa habari. Rip
RIP Bradley