mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Ni kweli cocochanel bado yuko singleKwa Coco nani alishajaribu? Sina data kabisa!
Aisee huyu mtoto amefariki R.I.P
RIP Bradley
Yuko macho. Anasema kachoka balaa. Hata breakfast leo ameomba alie kitandani. Anadeka leo siku nzima bebi wangu [emoji8][emoji8][emoji8]Hahahaha jakitoo bado kalala
Morning BigbabaMmeamks Poa
Nipo kamanda kumekucha!Morning Mkuu mambo niaje
Mpenda soka hatari. Rip
RIP Bradley
Defoe atakuwa ameumia sana dogo alikuwa anampenda sana huzuni kubwa kwa mji wa Southampton na timu nzimaKifo mwanaharamu kabisa. RIP!
Jana ulisema leo utashinda hapa. Karibu sana. Nategemea leo lazima utaibua totoz.Mmeamks Poa
Huyu mchina asije akanikibitiHo Chi Minh akikusikia umekwisha! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nampa cocochanelJana ulisema leo utashinda hapa. Karibu sana. Nategemea leo lazima utaibua totoz.
Pamoja mkuu Shimba ya BuyenzeMan G mtoa likes mzuri usiye na choyo kumekucha mkuu amka. Vita ya likes ishaanza!
Mwangaluka?Mgonile