mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mi simo mkuu. Moto ukikuwakia usinitaje!Nampa cocochanel
Si ndiyo kunakucha watu wanaamka mkuu? Isitoshe likes ni muhimu zaidi kuliko speed!Speed ya posts ndogo
Ngoja tuanza kujaza makapu mkuu shimbaKacnia amka mkuu ukamate likes.
Nani amekupa cheo cha kugawa totoz humu mkuu? Mtafutie Kichwa kwa sababu hali yake ni mbaya!Nampa cocochanel
Mkuu leo usiondoke mpaka ufike 5000Ngoja tuanza kujaza makapu mkuu shimba
Yaani leo nipo full equiped kwa ajili ya vita hiiMkuu leo usiondoke mpaka ufike 5000
Jana ulivuna kiasi gani? Leo basi kazana uvune zaidi ya hapo!Ngoja tuanza kujaza makapu mkuu shimba
Tupo pamoja mkuu, me leo nataka niione 10kYaani leo nipo full equiped kwa ajili ya vita hii
Inawezekana kabisa. Let's go !!!Tupo pamoja mkuu, me leo nataka niione 10k