Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
πππ kitambo sana hii nyimbo. Dah!Natanga na njia eee natanga na njia na hangaika
Shidaaa juuu ya shidaaa tabuu juu ya tabuuu
Huku na huko nahangaika kusaka pichaaa nalala na njaaa nahangaika lakini stella yupoooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda stella ila king mbish kagoma kutoa emoj kwa malalamiko ya stella hapo sidhan kama mswat atajitundika ila ntalala kimachale niviziepo na mie
Siku ukiwa pekeyako humu niambie nikuwekee[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Ila nacheka kwa kujifariji tu.
Anko na wewe si ungetupia kamoja wakati tunamsubiri KD
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye kuachwa na Uber Ni mzembe zaidi yanguHuyu Anko mjanja mjanja sana
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Natanga na njia eee natanga na njia na hangaika
Shidaaa juuu ya shidaaa tabuu juu ya tabuuu
Huku na huko nahangaika kusaka pichaaa nalala na njaaa nahangaika lakini stella yupoooo
Nitajitahidi kuwa mwepesi Anko, hata leo nitachelewa kulalaSiku ukiwa pekeyako humu niambie nikuwekee
Utaniuza Sana ankoo,wewe mzembe
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante ankoo
Sanaaa ,sasa emoji tuisubirie au ndo siku imeisha?Pasaka imeisha vizuri
SanaPasaka imeisha vizuri
Huyo anasemaga kaachwa kumbe hajaachwa
Siku imeisha hiyo πSanaaa ,sasa emoji tuisubirie au ndo siku imeisha?
πππ
Aongeacho Stella ni kweli tupu Anko, enzi zile ulikuwa unachelewa kufuta, tangu Ester aweke ile ya kuchoma, basi, mmekuwa faster sana kufuta.Huyo anasemaga kaachwa kumbe hajaachwa
Niongeze Basi ile sauti nitafutie usingizi[emoji7][emoji3][emoji3][emoji3]