M16_kwaoz
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 247
- 474
Huu ni mkono wako?
Mimi nimeshindwa kuelewa babe.Hivi kuna tulipoksea kweli babe? Au Wameamua tu kutuumiza roho na paska hii, mwaliko tukose hata VN piaa[emoji24][emoji2296]
Basi inatoshaNaeleza niliyoyafeel[emoji91][emoji91][emoji7]
Kijana ana sauti tamu Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah, huyu KD ana balaa sana, wamewekeana usku mneneMimi nimeshindwa kuelewa babe.
Yaani kauli inatoka subiri akalale halafu watu wanapewa vyote.
#nimeumiasana[emoji17][emoji17]
[emoji23]unafurahii mwnyewe[emoji18]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi inatosha
#achakuumizamoyowangubasi[emoji41][emoji41]
Waoneshe na wenzako
Nakazia hapo kwenye #Dah, huyu KD ana balaa sana, wamewekeana usku mnene
#shuaaaiinZao[emoji35]
Yaani unajua kubembeleza jana mpaka saa nane usiku unabembeleza babe wa mtu akutumie voice nimecheka mno comments zenu asubuhi niliposomaππππNaeleza niliyoyafeel[emoji91][emoji91][emoji7]
Kijana ana sauti tamu Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Anajiona kapatia maisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unafurahii mwnyewe[emoji18]
The Happiness mpendwa una moyo mgumu na mfano wa kuigwa mimi siwezi ningepasua mtu kwenye uzi wa like πππππ[emoji23]unafurahii mwnyewe[emoji18]
ππππππUliscreenshot hiyo sauti ππ
Yaani mnamuweka majaribuni sana mtoto wa watuThe Happiness mpendwa una moyo mgumu na mfano wa kuigwa mimi siwezi ningepasua mtu kwenye uzi wa like [emoji12][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mpendwa mimi nilisifia mara mbili ila Anne jana saa nane usiku anabembelezaYaani mnamuweka majaribuni sana mtoto wa watu
Yaani wewe ukisifia macho,stella akisifia miguu,siksipaki na sauti mtoto wa wenyewe analazwa ICU[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani na wewe ulikesha jana kungoja vn[emoji42][emoji42][emoji42][emoji932][emoji932]
[emoji3][emoji3]anabembeleza hatari, plus vikopa kopaYaani unajua kubembeleza jana mpaka saa nane usiku unabembeleza babe wa mtu akutumie voice nimecheka mno comments zenu asubuhi niliposoma[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]