Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
No, Jpili nilienda kanisani....huko kukimbia kuna sehemu nilikuwa nawahiπ π
Hayo hayakuwa makubaliano yetu, na Jpili ukasali online?
Enwei, nilikukataza kukimbia kwenye comments lakini.!!
Kero gani hizo??Hakuna hata kitu cha msingi basi tu ni kero za huku Duniani ziliniharibia mood lakini sasa hivi shangwe tu
Eer thing is Ok Carba....Yo good now totoo?
Next time uniambie niko na bidhaa ya kukutoa from bad mood to good mood in a sec[emoji16][emoji16]
Acha basi mzee.Picha la kutishaView attachment 1418799
hahahahahahah,Kumbe unaelewa ile feeling[emoji16][emoji16]
Bhana weee!mekutana na spoilers huko hata sina hamu ya kuiangalia tena.
Naivutia kasi tu hapa
Good to hear.Eer thing is Ok Carba....
Sasa unanipa hamu ya kujua hiyo bidhaa [emoji3]
that's always my girlie.!No, Jpili nilienda kanisani....huko kukimbia kuna sehemu nilikuwa nawahi
[emoji16][emoji16][emoji16]hahahahahahah,
Haya nakuacha uangalie mwenyewe.
#sivujishi
Alafu ujue sijaangalia hata episode moja πAcha basi mzee.
Nazidi kukosa mzuka wa kuiangalia[emoji17][emoji17]
Wewe acha tu ila nilipigiwa simu na mmoja wa wazazi basi ilikuwa simu ya lawama kibao
Ooh Jizazi π€...Good to hear.
[emoji23][emoji23][emoji23]ukiwa kama jana all you have to do is call me and i'll be at yoservice[emoji4][emoji4]
Wazazi wakwe au?Wewe acha tu ila nilipigiwa simu na mmoja wa wazazi basi ilikuwa simu ya lawama kibao
PoleWewe acha tu ila nilipigiwa simu na mmoja wa wazazi basi ilikuwa simu ya lawama kibao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wazazi wakwe au?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona kozi ya kizungu inaenda vyema kabisa.
Can't wait kusikia VN[emoji124][emoji124]
πππππππππππ wewe jamaaWazazi wakwe au?
Ooh ahsante sana Anne π€
Umehamia timu pinzani alafu na namba umehama, sasa hivi unacheza beki wa kati basi tabu tupu naona unaanza kuziba njia tu πWazazi wakwe au?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umehamia timu pinzani alafu na namba umehama, sasa hivi unacheza beki wa kati basi tabu tupu naona unaanza kuziba njia tu [emoji3]