Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Salaama bro, vipi huko kwema maana leo umepotea kabisa hapa jukwaani
[emoji847][emoji847][emoji847]
Basi ndio maana
Huyo jirani yako atakuwa TRM[emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mtu nimekaa nae hapa ndo kaomba hiyo nyimbo babe sio mimi
Kama Ndizi inapatikana unaweza kutoa Avocado ukatumia ndizi tu
Fresh bro
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimemuona mchumba wangu kutoka korea HAN HYO JOO.......
hii hata kama itakuwa ni mbaya hutopata maneno ya kashfa kutoka kwangu
View attachment 1419193
Hata mimi nimeonaHawezi chocolate huyu nishamuona
Hahah!
punguza kutabasamu......... virusi vya corona vinaelea kwenye hewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji847][emoji847][emoji847][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna baadhi ya watu bado sijawazoea humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulipotelea wapi ustaadh??
Inakuwa gud tu?Hiyo ndo natengeneza sema huwa naweka na peanutbutter[emoji39][emoji39]
Salaama bro, vipi huko kwema maana leo umepotea kabisa hapa jukwaani