Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahahahaha, najua uzi wetu pendwa kila nyakati huwa yanaibuka makundi yanayokesha hapa kwa sababu tofauti tofauti.
Kwa sasa ni zamu ya kundi dogo la watu wasiozidi wawili kukesha hapa[emoji2211][emoji2211][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo sijui umekula nini tu eti "Wale wapenzi wa usiku, usiku ndio huu"
 
Bro bado nipo huku, hapa nilipo nimevaa shuka maana nguo zinafuliwa hapo nje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Basi wewe bado upo upo sana huko maana nguo zikifuliwa Tanga huwa hazikauki sijui kuna nini tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…