Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Daah!Hahahahahahaha, najua uzi wetu pendwa kila nyakati zinaibuka makundi yanayokesha hapa kwa sababu tofauti tofauti.
Kwa sasa ni zamu ya kundi dogo la watu wasiozidi wawili kukesha hapa[emoji2211][emoji2211][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app
you must speak English, please
Babe ndo uko na date na kina denver?Now we need some space, 'cause I feel for you
And I wanna change
Growing up alone, it seems so short
I can't explain
#MoneyHeist
#04/01[emoji91]
Umesababisha nimecheka kama kichaa[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi wewe bado upo upo sana huko maana nguo zikifuliwa Tanga huwa hazikauki sijui kuna nini tu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] umemuona sasa bro?
Masikini bro[emoji134][emoji134][emoji134]Bro bado nipo huku, hapa nilipo nimevaa shuka maana nguo zinafuliwa hapo nje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi wewe bado upo upo sana huko maana nguo zikifuliwa Tanga huwa hazikauki sijui kuna nini tu?
walishikwa na njaa.......karantini ya ukweli unawekewa GB 50, siagi, mikate, chai ya maziwa, biryani la pakistani, samaki aina ya ngisi, pweza, pono, chewa, saradini, sehewa n.k
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Toa ile ringtone ya Meja, weka hiyo[emoji847]
JaribuNgoja mashetani yakinipanda nitaifanyia manuva
Aiseh[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahahaha, najua uzi wetu pendwa kila nyakati huwa yanaibuka makundi yanayokesha hapa kwa sababu tofauti tofauti.
Kwa sasa ni zamu ya kundi dogo la watu wasiozidi wawili kukesha hapa[emoji2211][emoji2211][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Yes Babe, nimeanza meeting nao sa hiiBabe ndo uko na date na kina denver?
Laaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pipii kijiti
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]Masikini bro[emoji134][emoji134][emoji134]View attachment 1419219
Nimewaza kizungu ambacho angeandika msukuma kwa dada akeHaha, wanafamilia tupo vizurii bhana.....amekosekana Kaka Mkubwa Shimba!
Wewe lini.? Nikundalie Uzi
Haya nimerekodii.....halafu mwambie yule mfuga sungura,nimepata wa kwangu na mimi..nilizaliwa mwaka ambao sungura alizaa kenge (0606)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daah!