Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

😆😆 wewe bhanaaa... ni jamaa flani,yupo humu mtoto wa balozi!

Useme humjui tena
nimpendaye hataki, nisiyempenda hajiwezi kwangu......
huenda ndio hivyo.....

haijawahi kutokezea tokea nijiunge JF kurusha satellite ya hisia zangu eneo fulani..........sielewi kama upo kwenye utani au kwelini unaponitishia na hizo stori za Mrs fulani nisiyemtambua.

hahahahahaaaaaaaa usinitisheeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…