Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi kwenye hiyo karantini kuna vishawishi gani vya kuwafanya watu wakae hapo kwa siku 14,
Kwa mfano aina ya chakula ikoje

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama alivyosema kd yawezekana wametoroka sababu ya mazingira hasa chakula na usikute na matibabu vile vile maana hakuna toba sahii zaidi ya ile wenyewe wanaita supportive management.

Mungu tu atusaidie
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] we chizi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…