moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
ThanksHatujambo
Karibu mzee
Kiumeni wazee wa kaziUsicheze na watoto wa Temeke
kwa hivyo leo wanawake wa Tanga wamekubaliana kumlaza mzee wetu moudgulf na shuka jeupe kama aliyetahiriwa.
Aiseeh![emoji134][emoji134][emoji134]
Karibu boss tufurahi pamoja hapaNiko mzima tena msafi kama pamba
[emoji23][emoji23][emoji23]mbona mnataka tushindwee[emoji51][emoji51]Hii combination ya Mimi na mkorea Esta haoni ndani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nitaleta mrejesho nusije ukadondosha machozi
View attachment 1419263
itabidi waje na gari tatu za kuzimia moto wetuImajini huyu mkorea hata Mimi namuogopa
Sasa Mimi nilivyo na vuvuzela mdomoni nikiunganisha na tarumbeta la mkorea
Ni moto tu humu[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani mtoto?We mtoto acha kupigia hesabu miaka yangu 44 na miaka ya namba za viatu vya watoto
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aiseeh![emoji134][emoji134][emoji134]
Ngoja nikalale tu
Kesho nayo siku[emoji94]Alamsiki
Kila kitu huku ni kiswafi mkuu.. upande wa kwako je?Poa sana mkuu, kwema?
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu jamaa hata Mimi namuogopa
Na imajini tungekuwa tunaongea badala ya kuandika.
Haki ya Nani ningekuwa na maneno machache sana humu kwa hii speed yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwani mnadhani mtaweza?[emoji23][emoji23][emoji23]mbona mnataka tushindwee[emoji51][emoji51]
tumeanza na vitisho kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]mbona mnataka tushindwee[emoji51][emoji51]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]itabidi waje na gari tatu za kuzimia moto wetu
😬😬