Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Bora na wewe umeona ππ[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nimeona pasi yako mzee
π Mpaka rangi rangi zimechanganywa kwenye lyrics.Bryan Mc night = back at one
One
You're like a dream come true
Two
Just want to be with you
Three
Girl, it's plain to see
That you're the only one for me
And four
Repeat steps one through three
Five
Make you fall in love with me
If ever I believe my work is done
Then I'll start back at one
ππ dahBora na wewe umeona ππ
#nimemaindisemabasitu
unaanzisha uchocheziπ Mpaka rangi rangi zimechanganywa kwenye lyrics.
Si mchezo mzee kakamatwa na Bibi wa kihindi
Naona unataka kuziba njia zangu zoteππ dah
swadakta...wengine tunaburudika na korean balladAcha mchezo weka muziki
ππswadakta...wengine tunaburudika na korean ballad
wengine wanaburudika na country
wengine wanaburudika na muziki wa kihuni kutoka america hipo hop
Sawa ila pasi zako mpe Bradha cole muache[emoji23][emoji23]Hapo nlikumbuka daemusin alisemaga kuwa cole ampa davet cd za hip hop
Hahaa!!Umenirusha stimu kuanza kuwaza vile hiyo ngoma inapenya Moyoni [emoji2357]
ππSawa ila pasi zako mpe Bradha cole muache[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Bora na wewe umeona [emoji23][emoji23]
#nimemaindisemabasitu
βββ