Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Ukitaka picha Ni Hadi saa9 kasoroDavet ahsante kwa kunidanganya.
Wapendwa tukijaliwa Mungu atupe uzima tena Inshallah
Naona ..Moshi wa majani
Washkaji ........
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja aje amalizie
Wale team waimba taarabu[emoji23][emoji23][emoji23]
Good night mrembo
Kama shilingi sijui nininini..Wanakubali kiana, kubali kiana, sijalii, bado chenga nawakomba....
Twende
Sent using Jamii Forums mobile app
Tugange Basi hayo..Wanakubali kiana, kubali kiana, sijalii, bado chenga nawakomba....
Twende
Sent using Jamii Forums mobile app
Davet ahsante kwa kunidanganya.
Wapendwa tukijaliwa Mungu atupe uzima tena Inshallah
[emoji137]
Naona unataka kukesha Leo[emoji3526]
Hamia Kwenye Ulanzi na Komoni, kakopo Cha Mia mbili unayumba njia nzima , unalala mtaroniHivi kumbe hawa Kvant ni shwaini kiasi hiki? Kutiana hasara tu, ujazo 750ml lakini masaa matatu kwisha na kichwani hamna kitu...nitaenda wapi usiku huu... Shwaini zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzio tunapata daku baada ya Mlolongo wa Dua za kuikimbiza CoronaLike moja hapo tafadhali chap.
Jiaa jiaaa jiaaaTugange Basi hayo
Tuache kupiga miayo
Tufikiri kwa urefu.....ya zakayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu gani hicho?