moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hamia Kwenye Ulanzi na Komoni, kakopo Cha Mia mbili unayumba njia nzima , unalala mtaroni
Sent using Jamii Forums mobile app
Niambie basiNikishakipata nitakuonyesha, kwa sasa itabaki kuwa siri
Naomba huuGetto
Akon
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaa!
Kama wale wazee wa ku delete comments ili wasionekane wanaandika mashudu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi tusio na image acha tujibambe[emoji126][emoji126]
PoyeeeNapenda kusuka rasta ila hazinipendi simalizi siku mbili nafumua
Asubuhi nina weweHahah! Ndio limeisha hivyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Interval ya matukio muhimu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi naelewa na katiba ya chama haivunjwi.
Sema nini stella anashindwa tu kusema hapo anataka aone unafananaje yani emoj tu ndo inamkwamisha[emoji23][emoji23]
Maana viungo vyote anavyo[emoji23][emoji23]
Niambie basi
Nikue Mara ngapi moud[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kalale ukue