Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Bila shakaYako umewahi kuweka hapa?
Nilitania Saint,
Unafanya utani .. By the way nilitania crush.Bila shaka
Ni kweli niliweka, sawa crushUnafanya utani .. By the way nilitania crush.
Kuna dramania ila inazingua hii ni ya kikorea tu. Kama unataka korean drama zote utazipata google ukisearch kissiassian.sh au dramanice au dramacoolNumbisa
Davet
ningendako
Cole Williams
Naombeni app za kudownload movie kwa simu ambazo zinafanana na popcorn time
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimenukuu maneno ya stella bhanaImebidi nirudi tena kwenye hii post, eti hapa ulisema nini?
Daah roho imenidunda si kidogo
Imebidi nirudi tena kwenye hii post, eti hapa ulisema nini?
Oneni akili zenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimenukuu maneno ya stella bhana
#najuaulichowaza
#badboy
Naelewa naelewa[emoji109][emoji109]Hahah!
#Intervalmuhimu
Nimeondoa ushahidi ngoja mida mida tutaanza trial πNimeelewa maujanja[emoji126][emoji126][emoji126]
Ahsante CapitalPole sana Depal naona imegusa sana hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waaaaowww mkavu kabisa aiseeeYaani king Leo ananibania Sana
Nimetoka mkavu kabisa.
Naomba wewe kaka Coco [emoji3526]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dramania nilikuwa nayo nikaifuta ilikuwa inazingua.Kuna dramania ila inazingua hii ni ya kikorea tu. Kama unataka korean drama zote utazipata google ukisearch kissiassian.sh au dramanice au dramacool
ππππππ afanya kama anacheza PuzzleVile viungo ulivyopewa havijatosha kuunga unga angalau upate picha ya mfalme mpaka unajipa tabu kiasi hicho?
Sent using Jamii Forums mobile app