D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Heheh![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#unaniangushabhana
Sasa huyo ni Konki ndio maana anafanya hivyo ila kuna mwingine ninae hapa nahisi wewe ndio utafanya kama yeye. Ningemuweka sema tu video yake haina maadili 😀
Naomba nimuoneSasa huyo ni Konki ndio maana anafanya hivyo ila kuna mwingine ninae hapa nahisi wewe ndio utafanya kama yeye. Ningemuweka sema tu video yake haina maadili [emoji3]
Hahah! Wewe nae TomasoNaomba nimuone
Kwani Mimi siwezi kujikakamua Kama Huyo?
Kwanini mnisemee[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app