Haaaa kwa hiyo wameunganisha..Neno la Kikurya mura!
Mkuu mambo!Quigley
Bigbaba ana usongo balaa. Alianza usiku wa manane binti akatimua!Bi Asha kaingia tu watu wanatupa ndoana
Nimeicheki iko bieeYou wont regret
Njia moja DomMorning all
Correct...
Anajifunza kuongeaSiku hizi ameacha. Siku hizi anaweza kupost "Thanks" hata 30 kwa mpigo!
Povu lake balaa!Ommo
Ahsante mkuu,kumekucha salama.Habari ya asubuhi ndugu zangu wooote.Mungu katuleta kwenye siku nyingine,na ikawe vile atakavyoona inafaa kwake yeye aliye hai.Jina la Bwana lihidimiwe.Tuwe na siku njemaAndjul na Nsamaka amkeni kumekucha!
Kwema mkuuMorning to you bro A city kwema hapo
Very...Good muvi...
Kweli kabisaMarekani wachawi wabaya