andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Nitumie hiyo kisiri siri niikague kama haifai kwa matumizi ya hapaSasa huyo ni Konki ndio maana anafanya hivyo ila kuna mwingine ninae hapa nahisi wewe ndio utafanya kama yeye. Ningemuweka sema tu video yake haina maadili [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kizungu chako kinaumiza magego
Ameeen[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku nikijaribu ntawapa feedback
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao mbuzi sijui wana translate kitu gani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii lugha unaweza ukakata pumzi huku unajiona
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani umeshafika au bado?😀😀😀Wapi huko? 😂😂
😂😂😂 Anko!Nitumie hiyo kisiri siri niikague kama haifai kwa matumizi ya hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Saint!
Kwa wanapenda kitambi chakula ni hiki sanduwishi ya nguvu
Utanifundisha jinsi ya kukitengeneza mpendwa [emoji120]Kwa wanapenda kitambi chakula ni hiki sanduwishi ya nguvu