Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Staa huyo wa Kiargentina, ameripotiwa kuchoshwa na bodi ya sasa ya Barcelona inavyofanya mambo yake na hivyo amemtaka rais wa klabu hiyo, Josep Maria Bartomeu kujiuzulu, la basi yeye atafute timu nyingine ya kwenda.
 
Barcelona imeonekana kuwa na tatizo msimu huu, ambapo awali ilielezwa kuwapo na mgogoro kwenye vyumba vya kubadilishia nguo na sasa vita kali imehamia kwenye bodi, ambapo sasa malumbano yaliyopo ni baina ya bodi hiyo na wachezaji.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] stella bhana, yani kashafaudu anakubania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…