The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Asee, natumia Uc browser turbo inazngua, siwez kuattach files, mpaka nirudi AppHio sijawahi kuitumia. Muulize KD anatumia ipi. Mie natumia uc browser japo huwa inazingua siku hizi
Umeona eeeh, na hapo lazima ufungwe.[emoji3][emoji3] itabidi kushika Pad kama roboti, Teh
Hah,.Mambo vip?Umeona eeeh, na hapo lazima ufungwe.
Unasikiliza nyimbo gani? Stella
Shwari, kwema pande hizo?Hah,.Mambo vip?
Hio turbo hata sio nzuri bora kutumia uc min au kubwa yake ina rangi ya orange,sema hii kubwa inajifunga au kujitoa ulipo sometimesAsee, natumia Uc browser turbo inazngua, siwez kuattach files, mpaka nirudi App
Kwema tu bro, mapambano dhidi ya korona yanaendeleaShwari, kwema pande hizo?
[emoji2356]basi bora min tu.....Hio turbo hata sio nzuri bora kutumia uc min au kubwa yake ina rangi ya orange,sema hii kubwa inajifunga au kujitoa ulipo sometimes
Nlikwambia mda gani?
.Vizuri
π€π€ thank u!
Yeah, Mungu atuepushe.Kwema tu bro, mapambano dhidi ya korona yanaendelea
Basi zipo tofautiUmenambia nibonyeze hicho kidude Cha attachment
Sasa Sijui [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kazi ipo
Sent using Jamii Forums mobile app
My pleasure.....Yule jamaa hajafika Ku[emoji3].?[emoji847][emoji847] thank u!
Kwani huna App ya kubrowse ambayo imekuja na simu?
ππ hii kauli bwanaHii ukicheza ilhali wanywa lazima umwage ππ
Nadhani nishaifutagaKwani huna App ya kubrowse ambayo imekuja na simu?