Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Uache kunionea SasaPicha mara nyingi huwa anapitwa mpaka tunamuita mzembe umesahau?
Ujumbe wa Usiku[emoji120]
Nimeweka tu earphone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shuaain
HamnaNaona sku za karbun kawa active
Simu yako haina file imeandika 'Internet'?Unadhani naelewa Basi
Hata sijui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1664]
Sent using Jamii Forums mobile app
NdiyoAisee! Pole sana kumbe kuna mambo mengine huwa tunakuonea bure tu
ππππ[emoji3][emoji3]sema E ya voda inajitahidi.....sisi wenye Airtel ikisoma E utapata tabu
#ifyouknow
Google Chrome Je.?Simu yako haina file imeandika 'Internet'?
Looh, pole sana..!Hamna
Huwa anaweka napitwa Mara nyingi.
Nikiwa active ujue nipo chumbani
Sebuleni hakuna mtandao kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unataka kusema nini labda?
Itakuwa anapanda milimani huko
Hahah, mndali wewe
πππUache kunionea Sasa
Maana umeona Hali niliyokuwa nayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
E ya Voda iko vizuri[emoji3][emoji3]sema E ya voda inajitahidi.....sisi wenye Airtel ikisoma E utapata tabu
#ifyouknow
Pia inafanya fresh tu au ata ukitumia ile ya Google nayo haina longo longoGoogle Chrome Je.?