myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
HatariiMto mkubwa kuliko yote jijini Dar es salaam Msimbazi.
Wananchi wakifuatilia mafuriko ya mto huo Tabata View attachment 1422723
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapafai....
Kuna baridi sana?Hushindwi wewe.. siku ukikanyaga ardhi ya huku nadhani utajiphotoa passport za kutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila si nilishakupaga?
Aisee
Wakishua acha hizo mimi nimetoka kuoga ya baridiiiiii๐๐๐๐ dah!
Hapana itabidi nioge ya moto tu kwakweli
Hii Ni nyingine na uliniahidi kabisa..Ila si nilishakupaga?
HakunaKuna baridi sana?
Kuna watu ngoja watokeHii Ni nyingine na uliniahidi kabisa..
Naona unaanza kuniletea maringo Kama mwenzio[emoji26]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee... Una ujasiriWakishua acha hizo mimi nimetoka kuoga ya baridiiiiii
Hahah! Siumeona baada ya kuoga umetuletea mbinu ulizotumia huko bafuni ๐Wakishua acha hizo mimi nimetoka kuoga ya baridiiiiii
Kuna joto huko?
Nakaa hapa kila sikuKuna watu ngoja watoke
Yes mpendwa siwezi maji ya moto ๐๐๐Aisee... Una ujasiri
Duh! Hatari sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna joto huko?
Jotojoto[emoji23]
Nimecheka sana๐๐๐Hahah! Siumeona baada ya kuoga umetuletea mbinu ulizotumia huko bafuni ๐
Hujaoga mpendwa wewe umenawa tu
Tunausikilizia mwezi mayDuh! Hatari sana