Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Emoj za vicheko mwisho huku
Huko duniani kashushe nondo[emoji16][emoji16]
 
Zamani ulikuwa unatoa mawazo chanya?
 
Nenda kashushe nondo tuje kusoma,ujinga wangu na dav tuachie wenyewe[emoji16][emoji16]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mpendwa wewe ni comedian nimecheka hii comment
 
Ina maana wameususa uzi kwa pamoja [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi naona hawajaususa kwa pamoja
Yule sisy akija hapa mara nyingi huwa anachat na bro.. Sasa ikitokea hayupo inakuwa shida.

Ni sawa na Mimi niingie hapa nimkute yego,au mzee wa liver ama Goddess
Nitatoka Kama nilivyoingia
Tofauti na nikiingia nikamkuta carba,KD ama ostaz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…