moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Wenye nacho ila kina sisi tunaomba isitokee
Jamani wa kishua njoo kwetu kwa Mtogole yamejaa tele.Aah tabu pa kuyapatia sasa
Shukrani ila huu huwa napendelea kwenye chai kumbe na kufukiza unanogaMchaichai
Team lockdown wanapovu wale
[emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nikaulize kwa jiran kwanzaJamani wa kishua njoo kwetu kwa Mtogole yamejaa tele.
Itakuja otomatikale mwenyewe utakaa ndani bila shuruti badobado kidogooo.. ukianza kushuhudia laivu wagonjwa wanavyokuwa wanatapatapaNdiyo maana nasema Lockdown watu wajiwekee wenyewe, serikali hii haina uwezo wa kuhudumia makundi ya watu waliojizuia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawaeleweki wale,bendera fata upepoNaona wapenzi wa Chadema wanajaribu kushawishi Lockdown wakati mchana kutwa wanazurula mjini
Sent using Jamii Forums mobile app
Naogopa majanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona mbio sasa
Hata mimi nawaza hivyoItakuja otomatikale mwenyewe utakaa ndani bila shuruti badobado kidogooo.. ukianza kushuhudia laivu wagonjwa wanavyokuwa wanatapata
[emoji23][emoji23]Ee [emoji23][emoji23][emoji23]Nikiwa na huzuni tu
Daah enzi zetu nilitumiaga sana hii. Hasa maigizo ya mzee jangala,pwagu na pwaguzi
[emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe hata Pwagu unamjua, kweli we ni muhenga[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app