Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
😀😀😀 na mimi hata bado sijajua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bado natafuta majani jamani ee mmoja aanzishe uzi kuulizia majani ya kujifukiza. Wenzetu mnatumia majani gani?
😁😁😁😁[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unakunywa maji lakini?Bado yani. Dah!
Vipi wewe uko poa?
Hawaeleweki wale,bendera fata upepo
Fujo tuWanatoa shinikizo kwa serikali ya magufuli wafungie watu majumbani.
Sijajua interest yao ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mimi vileWatu wanaojua utani zaidi wanajua kusoma akili za watu pia.
Una umwa mpendwaBado yani. Dah!
Vipi wewe uko poa?
A one-night stand turned a two-night stand
It was "come sunlight, scram, " now we hug tight