Mzee mmoja kutoka Mtwara wakiwa wanatetea dawa za miti shamba akasema "Kipindi hicho wakiwa mtwara kuna dawa inaitwa CHIDUDU ilikuwa inawekwa kwenye mchonyo '0713, 0714, 0715, 0716, 0717, 0718, 0719' lengo hasa ni kutibu MALARIA"
Wana Mtwara hii kitu kweli? Ila nachotaka kujua kwa nini inaitwa CHIDUDU????. .