moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ahsanteeeh mkuu pongez zako zmefika mahali husika, [emoji120][emoji120][emoji120]Aisee!!
Mkuu kumbe wewe ni mbyutifulu kiasi hicho! Hongera sana kwa upendeleo kutoka kwa muumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile picha ni wewe au hiyo Avatar ni wewe mpendwaAhsanteeeh mkuu pongez zako zmefika mahali husika, [emoji120][emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante bro kwa ufafanuzi huu wa Roses. Nilikuwa sijui kuwa rangi tofauti zinawakilisha mambo tofauti.
Pink Words like admiration, gentleness, grace, gladness, joy and sweetness are just a few ways to describe the meaning behind the pink rose. A pink rose can also convey ha
Huyu Kichuna wako ni me au ke?
Ambao hawana je?
Bado wanatangaza deile au walifuata ushauri wa rais wa Wanyiramba alioutoa bungeni?
Yes n mieeh dyadyaIle picha ni wewe au hiyo Avatar ni wewe mpendwa
Kila kitu huishia kaburini kamanda [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Huyu ndio mieeeh sasa mkuu, lol mweehHuyu Kichuna wako ni me au ke?
Uliitoa ile avatar nzuri tuliyokuwa tumeizoea?
Kila kitu huishia kaburini kamanda [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Wewe ni "dyadya" una maanisha wewe ni dada?
Cult followers wake wameanza kunywa na kujidunga hizi disinfectants. Wamelazwa kadhaa huko Alabama na Kentucky. Na wengi wanapiga simu kuulizia wanywe au wasinywe...Kazi sana yaani...
Me n kyakya, Kwan dp huon Damon wee nae lolWewe ni "dyadya" una maanisha wewe ni dada?
Bado anapambana na Wachina wake? Mbona hata yeye anadai idadi ya vifo vya Wamarekani vimeongezwa makusudi ili kumchafua? Si yale yale tu?Kuficha takwimu za wagonjwa na vifo ni upuuzi tu.View attachment 1432191