Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Dah! Dume akishaingiza tu jike linamkata kichwa. Ajabu sasa ni kwamba dume anaweza kuendelea kupiga mabao kwa masaa kadhaa bila kichwa...na baadaye huyo anakata roho kishujaa huku akiwa ametetea heshima ya ukoo. What a beautiful way to die !!!
 
Hili tukio bila shaka huwa linafanywa dume akiwa hajitambui na amecontrate kwenye tendo.

Hapa nimejifunza kwanza hata mademu wetu huwa wanatuectia sana sema hawana uwezo wa kutukata vichwa na miguu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38], hatari kweli mkuu umenikumbusha enzi hizo nikiwa songea boys, nilienda kujinoa tuition dar, kuna demu moja nilikutana nalo mchikichini pale aliangusha maswali ya kodi 2 na sub topic ya circular motion topic ambazo nilikuwa sizipend advance lakini kwake ilikuwa mtelemko, demu alikuw dume si dume hio sula, acha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…