moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Makamanda bana....
View attachment 1435667
Daktari huyu, unaweza umwa kila sikuKorona itashindwa.
View attachment 1435711
Kiki tu hakuna kingine [emoji16][emoji16][emoji16]Wana maabara yao ya kuthibitisha au wataitumia ile ile ya mkemia mkuu wa serikali ambayo sasa imeelemewa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Diabetes ina sababu nyingi 1:Ulaji mbovu ikiwa ni sababu mojawapo.2:Historia ya Familia kama kuna watu kwenye Familia walikuwa na Diabetes obviously unaweza ukapata!!Mbna kama hrithik roshan ni mtu wa mazoezi ila ndo ana diabetes
Jamani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]