Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,748
Asilimia kubwa watoto wakizaliwa huwa hivi baada ya wiki sura inakuwa Sawa.
Nilipojaribu nikajua labda shida ya simu yangu.App leo inanigomea. Na kwenu ina kwikwi au ni kwangu tu?
Shida niniApp imepata kwikwi na nyie mmepata kwikwi? Hata watumia browser akina Esta, Malkia wa Chuga, Mpendwa na wengineo? Kujeni bana [emoji16][emoji16][emoji16]
Hakuna shida. Ni ukimya tu wa hapa umenitisha. Hujambo?Shida nini
Sijambo, tupoHakuna shida. Ni ukimya tu wa hapa umenitisha. Hujambo?
Tupo karantini...muda wote ni kulala tuApp imepata kwikwi na nyie mmepata kwikwi? Hata watumia browser akina Esta, Malkia wa Chuga, Mpendwa na wengineo? Kujeni bana [emoji16][emoji16][emoji16]