myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hana adabu kabisaAnachezea alikotoka!!
Mapumziko kidogoApp imepata kwikwi na nyie mmepata kwikwi? Hata watumia browser akina Esta, Malkia wa Chuga, Mpendwa na wengineo? Kujeni bana [emoji16][emoji16][emoji16]
😁😁😁 ukipata mtoto mmoja wa aina hyo ikuwa rahisi tu broU-Ostaadh unapatikanaje bro?
Hali ni tete aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
Hata kwangu pia, inazingua sana, nikajua ni mtandao huku nilipo.. Halafu browser kwangu huwa naona ni michoshoApp leo inanigomea. Na kwenu ina kwikwi au ni kwangu tu?