myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sina auntie nimecopy makala google ila jamaa katoa mawasiliano yake hapo. Google matatizo ni daraja utaiona makalaAuntiee, kama unacho hicho kitabu naombaa.
Kuna tatizo kwa makamandaNimejiuzulu nyadhfa zangu zote ndani ya chama hicho.
CHADEMA imenipa udhamini lakini wananchi wa Momba ndiyo walionichagua kuwawakilisha, lazima niwa wakilishe.
David SilindeView attachment 1440642
Auntie unaniangushaa, nimeona kuna sehemu wanakiuza 10k ,ila page ina load hatariSina auntie nimecopy makala google ila jamaa katoa mawasiliano yake hapo. Google matatizo ni daraja utaiona makala
Kuna tatizo kwa makamanda
Auntie uzee huu ndo maana naamua kushare na nyie mpate maarifa kama haya. Kumbe kinauzwa bei ya sukari kilo mbili na roboAuntie unaniangushaa, nimeona kuna sehemu wanakiuza 10k ,ila page ina load hatari
πππ maisha yako kasi sana.....Nimekipenda kwa kweli, nitakitafuta tu!Auntie uzee huu ndo maana naamua kushare na nyie mpate maarifa kama haya. Kumbe kinauzwa bei ya sukari kilo mbili na robo
ππ huko tutaenda kuaibika buree,π€The Happiness kuna watu wapo mita nyingi mbele yetu
Hili draft la dalmax la google play limenishinda aisee, hii app ina mchezo mkubwa sana - JamiiForums
ππ huko tutaenda kuaibika buree,π€
Kuna Jimbo analitafuta huyuNimejiuzulu nyadhfa zangu zote ndani ya chama hicho.
CHADEMA imenipa udhamini lakini wananchi wa Momba ndiyo walionichagua kuwawakilisha, lazima niwa wakilishe.
David SilindeView attachment 1440642
Bunge linakaribia kuvunjwa....anatafuta usajili
Anataka kuhamia CCM halafu agombee kwenye Jimbo fulaniBunge linakaribia kuvunjwa....anatafuta usajili