Mtazamo wako vipi unakupeleka kwenye ndoto zako au unakupoteza? Una mtazamo chanya au hasi na maisha yako? Mtazamo hasi siku zote ni kiwanda cha matatizo.
Hivi vyama navyo viache ubabe.
Vifanye mambo ya msingi viache kuwalazimisha wabunge kila kitu kana kwamba wabunge wanawakilisha vyama ili hali wanawakilisha wananchi waliowachagua