Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
I'm fine too, za kuadimikamrembo wa Arusha....how are you I am fine?
Sawa dada mpambaji 😂[emoji23][emoji23][emoji23]sio kwa draft lile,maandalizi muhimu
mke wangu alikuwa ni mjamzito ndio maana nimeadimika.......hivi ndio nini kuniunganisha kwenye thread zinazowakejeli watu wa pwani?I'm fine too, za kuadimika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa dada mpambaji 😂
Keshajifungua?mke wangu alikuwa ni mjamzito ndio maana nimeadimika.......hivi ndio nini kuniunganisha kwenye thread zinazowakejeli watu wa pwani?
amezaa watoto watanoKeshajifungua?
wewe mzee acha kutudanganya....njaa ya karume unaikumbuka?Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nashukuru nimeziona tawala zote za nchi hii nikiwa na akili timamu
Sent using Jamii Forums mobile app
ila huyo dada ni kiboko yao ndio maana nigga akaamua kutoka ndani uchi wa mnyama....Atakuwa mwanaume wa Dar huyo. Wala sembe wa mikoani huwa hatutishiwi nyau [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1443854
Huyu member huwa ananichekesha sana, halafu unakuta ana andika siriaz kabsa... Kipaji tosha hiki