Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwangu lockdown naiunga mkono sana lakini kwa curfew siiungi mkono ata kidogo. Curfew haiwezi zuia ugonjwa kutambaa.

Upande mwingine kwa wale wako huko mashinani, lockdown hawaiungi mkono, kitu wanataka ni wafunguliwe wakafanye biashara zao.

Unaunga mkono hii lockdown yenu? Unafikiri inasaidia cho chote?
Lockdown naiunga mkono mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…