Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tafiti: Makalio ya Mwanamke kwa Mwanaume ni sawa na dawa za kulevya. Inaelezwa kuwa Mwanaume anapotazama Makalio ya Mwanamke (Makubwa) ubongo huathirika sawa na mtu aliyetumia Pombe au Dawa zingine za kulevya.
SYB umeona utafiti huu? Navyowajua wale wa-poti wakilewa lazıma waimbe, punguza mambo ya ma "Wezere" aisee; vinginevyo utakuwa unatembea huku unaimba mda wote! 😀😀
 
Bahati mbaya sana kila anayekosoa vitendo vinavyoendelea ndani ya chama hicho anaonekana ni mwana CCM.
Hili litawaghalimu Chadema.
Chama cha demokrasia kinakosa demokrasi ndani yake.
Wajitathimini
Hata kama wananunuliwa; this is too much. Makamanda; na hasa kamanda mkuu, kuna haja ya kujitathmini. Siasa ni mchezo mchafu na ukikubali kuucheza basi kubali kuchafuka; kujisafisha na kuchafuliwa....
View attachment 1453564
 
SYB umeona utafiti huu? Navyowajua wale wa-poti wakilewa lazıma waimbe, punguza mambo ya ma "Wezere" aisee; vinginevyo utakuwa unatembea huku unaimba mda wote! [emoji3][emoji3]
Tafiti za Esta utaziweza?

Ila misambwanda aisee ina mvuto wa ajabu sana we acha tu poti. Pengine huu utafiti wa Esta uko sahihi aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…