Kukaa muda mrefu hupunguza matumizi ya sukari mwilini, na hivyo kiasi cha sukari kinachobaki huwa kingi na hatimaye hupelekea kupata ugonjwa wa kisukari.
Kazi chache za mwili huongeza nafasi ya kuugua kansa. Hii ni kutokana na kukaa muda mrefu hatimaye kazi za mwilini ambazo huhitaji nguvu kwa maendeleo ya mwili hazifanyiki.
Mimi nalaumu hata madaktari wanaofanya hizi operesheni. Kama yule aliyekuwa anakata pua ya Maiko Jakisoni mpaka akaimaliza ningemuona angekiona cha moto [emoji16][emoji16][emoji16]
Ujuzi wa mambo ya kijamii hupungua. Hii hutokana na kutojichanganya sana na watu kwani muda mwingi unautumia peke yako na hatimaye kuwa nyuma kisaikolojia kwa mambo ya kijamii.
Upweke na Huzuni. Kukaa muda mrefu na sehemu moja yawezekana ni ofisini au sehemu zingine hukufanya kuwa mpweke na pia huzuni kwani hupati muda hata wa kuonana na jamii yako.