Mwanaume wa miaka 99 alimpa talaka mke wake wa miaka 96 waliodumu kwenye mahusiano kwa muda wa miaka 77 baada ya kugundua alikuwa akitoka nje ya mahusiano miaka 40 iliyopita.
Mnamo mwaka 2007, wapenzi wenye asili ya Bosnia walitalikiana baada ya kuwa kwenye mahusiano ya kwenye mtandao wa kijamii na kugundua wote kudanganyana majina.