Kumbukumbu
Kamwe huwezi kulipia pesa ili upate kumbukumbu, watu wengi wenye pesa wanaishia kuwekeza kwenye vifaa vya kutunza kumbukumbu kama vile kompyuta.
Uaminifu
Pesa zako haziwezi kununua uaminifu wako kwa watu, unaweza kuwa na washirika wengi wa biashara kutokana na pesa ulizo nazo na sio kwa sababu ya uaminifu wako
Mapenzi
Pesa inaweza kununua wapenzi na kamwe haiwezi kununua penzi. Utapata watu wanaokupenda kwa ajiri ya pesa zako lakini wasio na mapenzi ya dhati toka moyoni.
Unaweza kulipia huduma za afya na kamwe huwezi lipia afya. Hata umeze vidonge gani vitabadili muonekano wako wa nje tu lakini afya itabaki kuwa mbovu vile vile.