Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,156
- 14,847
Hawa jamaa....
SawasawaUjuzi
Kamwe huwezi kununua ujuzi hata uwe na pesa kiasi gani, kama hujui hujui tu. Na utapata ujuzi huo baada ya kujifunza pekee.
[emoji23][emoji23][emoji23]Katika nchi ya Philippines talaka ni kinyume cha sheria na talaka zote zilizotolewa nje ya nchi hazihesabiwi, mkirudi nchini kwenu nyie ni wapenzi.
Kweli..Ukweli ni kwamba siku haina masaa 24 bali ni masaa 23 dakika 56 na sekunde 24.