Lakini, Aubameyang hakutajwa na Wenger kuwa usajili wake bora wa Januari huku wachezaji wengine walionaswa Januari na Mfaransa huyo alipokuwa na The Gunners ni Theo Walcott aliyecheza karibu mechi 400 na kufunga mabao zaidi ya 100, Emmanuel Adebayor, Jose Antonio Reyes, Andrey Arshavin, Nacho Monreal na Emmanuel Eboue.