Oooh tunarudi kivingine, mara ooh yanga yatangaza kiama!
Well, tuweke rekodi sawa. Hii ndio timu ya kwanza kufungwa baada ya covid 19. Yaan ndio imefungua dimba kwa kula tatu bila.
Tunawasubiri shinyanga kwenye uwanja mpya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]