Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Yanga matokeo yenu tunayo, msijidai kukaa kimya nyie mabingwa wa kihistoria.
Kuna uwanja mpya tena huko siku hizi? Siyo Kambarage tena, eeh.Oooh tunarudi kivingine, mara ooh yanga yatangaza kiama!
Well, tuweke rekodi sawa. Hii ndio timu ya kwanza kufungwa baada ya covid 19. Yaan ndio imefungua dimba kwa kula tatu bila.
Tunawasubiri shinyanga kwenye uwanja mpya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yanga hii nayo mh!!!Oooh tunarudi kivingine, mara ooh yanga yatangaza kiama!