myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji23][emoji23][emoji23]Ni muda wa kusubiri chakula cha mchana View attachment 1477221
Duh!!Wababa tutafune karoti kwa kadiri tuwezavyo kupunguza stressView attachment 1477226
Poleni wakulima wote
Safiii sana
Hahahah karibuBurigi mnafaidi[emoji847]
Watu wa dar watalalamika hatujui kupikaUmetupia vitafunwa tu, ungewekapo na chakula basiView attachment 1477220
Niozeshepo mjukuu wako mmoja, nifaidi[emoji2088]Hahahah karibu
[emoji23][emoji23][emoji23]acha kabisa, karibuni atarudi hapaKwahiyo umemnyang'anya nyilwa na kumtupa karantini[emoji23][emoji23].
Ila ujue Kunguru hafugiki, hata ukifanyaje lazima atoroke tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Eeee aiseee king ana kazi π π π π π π€£ π€£ π€£ π πNiozeshepo mjukuu wako mmoja, nifaidi[emoji2088]