D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Wameiga Tanzaniatokea yaanze maandamano ya kudai haki za wanadamu weusi sijasikia nchi yeyote kubwa (zilizoendelea) ikitoa takwimu za ugonjwa wa corona.
vipi tenaaa, huu ugonjwa umemalizwa na maandamano?
shikamoo mabeberu,
wametafuta njia nyepesi ya kumaliza stori za coronaWameiga Tanzania