PAMOJA NA NYIMBO NYINGI, ZA KUIMBIA CHAMA TAWALA NA SERIKALI, NA HATA TUNGO YAKE MWANAMEKA KUTUMIWA KATIKA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE, MARIJANI RAJABU HADI SEPTEMBA 09, 2012 NDIPO RAIS DK. JAKAYA KIKWETE ALIPOMTUNUKIA TUZO YA HESHIMA YA MUUNGANO KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA UHURU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.