Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hachiko alikuwa ni Mbwa anaemilikiwa na Prof aliyekuwa anafundisha Chuo. Mbwa huyo alikuwa na kawaida ya kumsindikiza na baadae kurudi tena kumpokea katika kituo cha treni. Kuna siku Prof alipatwa na mshtuko wa Moyo akiwa anafundisha na kufariki, Mbwa aliendelea kumsubiri kwa takribani miaka 9 kituoni hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…